Tanzania imemaliza katika nafasi ya 11 kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika zinazoendelea Tallahassee, Florida nchini ...
Imeelezwa kuwa, Tanzania inaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata nishati safi, ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na madai ya posho.
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, siku 52 baada ya kuliunda, akimweka pembeni Waziri ...
ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kukua kwa uwekezaji nchini kumewezekana kutokana na uwepo wa amani na utulivu wa ...
Miongoni mwa matukio makubwa ni pamoja na kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro, kubanduliwa kwa timu ya ...
“HATUWEZI kuzungumzia mafanikio ya sekta ya utalii pasipo kutambua jitihada za makusudi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu ...
Nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan, amemfuta kazi Waziri wake wa usalama George Simbachawene, huku akifanya mabadiliko ...
Marekani, ambayo imemkamata Rais wake Nicolás Maduro, kwa muda mrefu imekuwa ikishinikiza wafungwa hao waachiliwe.
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali, akifanya mabadiliko ...
Siku chache zimepita baada ya vikosi vya Marekani kumkamata Rais wa Venezuela Nicolas Maduro katika shambulio la kijeshi ...
Zoezi la kuondolewa watu wa kabila la Wamaasai kutoka kwenye ardhi ya mababu zao Tanzania, kwaajili ya kuwavutia watalii ...